Tumieni elimu na maarifa mliyo yapata vyuoni kuuaminisha ulimwengu juu ya Imani ya kumtegemea Mungu na sio fedha Na Ezra Mwilwa Wachungaji waliopo masomoni Chuo Kikuu Teofilo Kisanja na Chuo cha Itengule Mbeya wametakiwa kuendelea kukemea maswala ya Ushoga yanayo endelea Dunia. Wito huo umetolewa na Kasisi wa kanisa la Angilikan Dayosisi ya Southern Canon Isac Mbwaga katika Chuo cha Utengule wakati akiwasilisha maada iliyo kuwa imelenga kuwajenga wachungaji wanafunzi kufundisha kweli juu ya mambo ya Ushoga.
Nao baadhi ya wathiologia walio shiriki katika Mdahalo huo wamesema kama wachungaji wasiogope kusema kweli na kufundisha watoto walio Shuleni na maeneo mbalimbali. kwaupande wake wachungaji Mhadhiri na Mchungaji wa Ushirika wa Teku Ekisa Shibanda na Makamu wa chuo cha Utengule mchungaji Tulinagwe Kibona wamesema ni vyema kila mtumishi anapo pata nafasi ya kufundisha mahali popote aendelee kukemea suala la Ushoga.
Hi, this is a comment.
To get started with moderating, editing, and deleting comments, please visit the Comments screen in the dashboard.
Commenter avatars come from Gravatar.